Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

TAZAMA PICHA MBALIMBALI ZA MAPOKEZI YA PACQUIAO BAADA YA KURUDI KWAO...



pac5 

Bondia Pacquiao amerejea nyumbani Ufilipino baada ya kufanyiwa upasuaji wa bega huko Marekani ambapo pamoja na kushindwa na Floyd Mayweather raia wa nchi hiyo walionyesha support kwake baada ya kutua.
 
pac10 

pac3 
Pacquiao alionekana muda wote akiwa na furaha licha ya maumivu ya upasuaji wa bega pamoja na kutofanya kile alichokidhamiria katika pambano hilo lililoweka historia duniani lililofanyika May 2, Las Vegas, Marekani

pac2 
Pacquiao alipigwa kwa pointi na mpinzani wake na mara baada ya pambano kuliibuka lawama kuhusu bondia huyo kucheza huku akiwa mgonjwa

pac4 

pac6 

pac7 

pac8 

ndani

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top