Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

HAYA NDIO MAJIBU YA DIAMOND PLUTNUMZ KUHUSU MTOTO WAKE KUPIMA DNA...

tifaaa
Kumekuwa na habari ambayo imechukua sana headlines kuanzia mitandaoni mpaka kwenye Magazeti inayomhusu Diamond Platnumz, Zarinah Hassan na mtoto wao tiffah.
Diamond amepatikana na kutolea majibu habari hiyo, barua ya kudai mtoto wake akapimwe DNA bado haijamfikia na kama ni ishu ya Kisheria inayohusu Mahakama amesema ingepitia kwa Wakili au Mwanasheria na sio kupitia Mitandaoni.
Kingine amesema kwamba Zari hajawahi kuolewa na wao wameamua kuishi maisha yao na hawezi kufuatilia maisha ya mtu wala wao kufuatilia maisha ya watu.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top