Safari ya Mgombea Urais wa UKAWA, Edward Lowassa kusaka Wadhamini kwenye Mikoa mbalimbali Tanzania imekamilika tayari August 17 2015, kilele cha Safari hiyo ni Visiwani Zanzibar ambapo umefanyika Mkutano eneo la Kibanda Maiti.
Pichaz zote kutoka Unguja nimezipata mapema mapema mtu wangu, unaweza kuona kwenye hizi pichaz jinsi ambavyo Zanzibar imempokea Mgombea huyo pamoja na Timu ya Viongozi wa UKAWA.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
















Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.