Klabu ya Soka ya Simba imerudi uwanjani August 15 kupimana nguvu na URA ya Uganda mchezo umemalizika kwa kwa timu ya Simba ambayo ndio mwenyeji wa timu ya URA kuibuka na ushindi.
Mchezo umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa goli 2-1 goli la Simba lilipatikana dakika za mwanzoni mwa mchezo, goli lilifungwa na mshambulaiji raia wa Burundi Kevin Ndayisenga aliyekuja kufanya majaribio huku goli la pili lilifungwa kipindi cha pili na Juuko Murushid, goli la kufutia machozi kwa upande wa URA lilifungwa na Kalanda Frank.
Hizi ni picha za mchezo
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN













Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.