August 15 mwaka huu wa 2015, Mgombea Urais 2015 kupitia UKAWA, Mh. Edward Lowassa alikwenda Arusha kwa ajili ya kuomba wadhamini ambapo video hii hapa chini inaonyesha kwa juu tu watu walivyokusanyika kwenye huo mkutano.BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.