Juventus August 25 wamekamilisha usajili wa mkopo kwa muda wa msimu mmoja wa aliyekuwa winga wa klabu ya Chelsea Juan Cuadrado ambaye alijiunga na Chelseamwaka 2015 akitokea katika klabu ya Fiorentina ya Italia.
Pichaz Juan Cuadrado alivyowasili Italia August 24 kabla ya August 25 kutangazwa kusajiliwa
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN


Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.