UMOJA wa Katiba ya wananchi-UKAWA leo unatarajiwa kuweka hadharani mgawanyo wa majimbo ya kugombea katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Tayari Umoja huo umeshamsimamisha Mgombea wa Kiti cha Urais kuwa ni Edward Lowasa na kabla ya kumsimamisha tayari Viongozi wakuu wa Ukawa walishathibitisha kwamba walifikia makubaliano kwa zaidi ya asilimia 95 kuhusu mgawanyo wa viti vya Ubunge na kwamba mazungumzo zaidi yalikuwa yanaendelea kuhusu majimbo 12
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN

Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.