Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ni President wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete leo August 17 2015 alikiongoza kikao cha kamati kuu maalum kwenye ofisi za makao makuu ya chama hicho, ambazo ni ofisi ndogo Lumumba.
Picha zote hizi na maelezo yake ni kwa mujibu wa Issamichuzi.blogspot.com ambapo wengine waliohudhuria ni pamoja na katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na Dr. Ali Mohamed Shein.BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN



Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.