Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

DOGO JANJA KAJA KIVINGINE KABISA... IKO HAPA VIDEO YAKE MPYA... ICHEKI...

Baada ya kimya cha muda mrefu sana Msanii mdogo Dogo Janja kutoka Tip Top Connection 2016 aliachia bonge la video la hit single yake ya ‘My Life’, Katika ngoma hiyo Dogo Janja amebadilika sana, ni tofauti na tulivyomzoea katika ngoma zake za huko nyuma. March 14 mwaka huu 2016 ambayo ni leo, Dogo Janja ameachia rasmi video ya hit Single yake hiyo ya‘My Life’
VIDEO HII HAPA ICHEKI...
Kwa Habari mbali mbali za Kitaifa na Kimataifa, burudani na Michezo usikose kuingia MO DESIGNTZ Beste wange wa ukweee...

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top