Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MABIBI NA MABWANA, IKO HAPA VIDEO MPYA YA ALIKIBA NA SAUTI SOL WA KENYA

Mabibi na mabwana wasanii wakali wa kesnya wanaojulikana kama Sauti sol kutoka nchini Kenya wameachia  video ya ngoma yao ya Unconditionally bae waliyomshirikisha msanii wa Tanzania Alikiba, ni video kali na yenye kuvutia. kweli kabisa ngoma iko vizuri.
Unaweza ukaitama hapa chini
Kwa habari mbalimbali za kitaifa kimataifa Burudani na michezo, usikose kutembelea mtandao wako wa MODESIGNTZ ili uhabarike Beste wangu wa Ukwe'e

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top