Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

BREAKING NEWS... BUS LAUA WANNE...



Habari tulizozipata... ni kwamba Busi la HBS linalofanya safari zake kutoka Mbeya kwenda Tabora limepata ajali likiwa katika safari za kutoka Mbeya kwenda Tabora nakuua watu wa nne (4) na wengine ishirini na tisa (29) kujeruhiwa vibaya.
Madereva wanaombwa kuwa waangalifu wanapokuwa katika safari kwani hakuna anayejuwa nini kitatokea mbele ya safari cha msingi madereva zingatieni sheria za barabarani na hakikisheni mnaendesha mwendo wa kawaida.
Mungu azilaze pema roho za marehemu....Amen

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top