Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

KIMENUKA... GABO NA HEMEDY WAMGOMBEA MREMBO HANIFA...



Katika filam za kitanzania zilizopata kupendwa na zinazoendelea kupendwa ni zile ambazo zilitengenezwa kwa ubora na stori nzuri za kuvutia.Na katika wasanii ambao wanaendelea kufanya vizuri na ambao wanawakosha watazamaji wa filam za kitanzania kwa sasa hivi ni pamoja na Salim Ahmed au Gabo pamoja na Hemed Suleiman, na hii inatokana na umahiri wao katika uigizaji hasa kuuvaa uhusika au kumaanisha kile anachokiigiza.KITU ni filam inayowakutanisha Gabo Zigamba  na Hemed katika kisa hiki kikali cha mapenzi. kilichopewa jina la KITU na ambacho kitakuwa mtaani hivi karibuni kikisambazwa na Kampuni ya SPLASH ambayo ni Kampuni pacha na STEPS..Usikose kupata na kala yako kwani nifilam yenye kisa cha kusisimua sana.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top