STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa baada ya mtoto wake, Cookie kutimiza mwaka, sasa anafanya mpango kutafuta njia ya kupata watoto mapacha ili atulie.
Akizungumza na bila wasiwasi Aunt ambaye amezaa na dansa wa staa wa Bongo Fleva, Diamond, Moze Iyobo alisema kuwa, anamshukuru Mungu kumpa mtoto ambaye amemfungulia njia lakini kwa sasa anatamani kupata mapacha ili awe na jumla ya watoto watatu kisha ndiyo apumzike aendelee na mambo mengine.
“Baada ya Cookie kunifungulia jina la kuwa mama sasa nataka niongeze uzao mmoja wa mapacha ili niwe na watatu kisha nitapumzika,” alisema Aunt
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN

Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.