Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MA STAR KIBAO WAFURIKA SHOW YA LADY JAY DEE... (PICHA ZA KUMWAGA)...

SHOO YA JIDE (1)Staa wa filamu, Wema Sepetu akiwa katika pozi eneo la Blue Carpet mara baada ya kuingia ukumbini hapo.
Kama inavyoonekana katika picha, ni dhahiri kuwa mwanamuziki wa bongo flava Judith Wambura Mbibo ananyota ya kupendwa na wengi, hii ilijidhihirisha katika show hii aliyo iandaa Lady Jay dee. mambali na mashabiki waliofurika katika ukumbi huo pia Mastar wa filamu na muziki walitia fora katika ukumbi huo.
baadhi ya mastar walioonekana kirahisi ni pamoja na, Alikiba, Elizabeth Michael (Lulu), Wema Sepetu, Idris Sultan, Dj Majizo, dizzle, Martin Kadinda na wengine wengi... Sow hiyo pia ilihudhuriwa na mama mzazi wa mwanamuziki huyo Lady Jaydee ambaye watu wengi walikuwa hawamfahamu.
SHOO YA JIDE (2)Mrembo anayefanya poa kwenye filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiingia ukumbini hapo.
SHOO YA JIDE (3)Lady Jaydee akiimba Wimbo wa Joto Hasira.
SHOO YA JIDE (4)
Jide akiongea na mashabiki (hawapo pichani) kabla ya kuimba Wimbo wa Siku Hazigandi.
SHOO YA JIDE (5)
Lulu akionesha kufurahishwa na jambo. Pembeni yake ni Dizzle.
SHOO YA JIDE (6)
Lulu akizungumza jambo. Pembeni yake ni DJ Majay ‘Majizo’.
SHOO YA JIDE (7)
Mama mzazi wa Lady Jaydee akiserebuka ukumbini.
SHOO YA JIDE (9)
Wema Sepetu akiteta jambo na staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba.
SHOO YA JIDE (10)SHOO YA JIDE (11)SHOO YA JIDE (12)SHOO YA JIDE (13)
Jide akiimba moja ya nyimbo zake.
SHOO YA JIDE (14)
Mshindi wa Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan akiingia ukumbini hapo.
SHOO YA JIDE (15)SHOO YA JIDE (16)
Idris akikumbatiana na Wema mara baada ya kuingia.
SHOO YA JIDE (17) SHOO YA JIDE (18) SHOO YA JIDE (19)SHOO YA JIDE (20)SHOO YA JIDE (21)SHOO YA JIDE (22)SHOO YA JIDE (23)SHOO YA JIDE (24)
Mbunifu wa mavazi, Martin Kadinda akiserebuka.
SHOO YA JIDE (25)SHOO YA JIDE (26)
Nyomi ya mashabiki waliohudhuria ukumbini hapo.
SHOO YA JIDE (27)
Jide akiimba Wimbo wa Ndi Ndi Ndi ambao ulikuwa wa mwisho usiku huo.
SHOO YA JIDE (28)
Njemba moja ambaye jina lake halikufahamika, akishikiliwa na polisi mara baada ya kunusurika kichapo kwa kutaka kuiba simu.
SHOO YA JIDE (29)SHOO YA JIDE (30)
Njemba huyo akitolewa nje na polisi.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top