Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MAM'DOGO LISA SEHEMU YA 27


ILIPOISHIA SEHEMU YA 26...
Akapita sebuleni na kuusogelea mlango wa chumba cha Hasina, akaangalia huku na huku kuhakikisha kama yuko salama, na kweli hakuona mtu, akakishika kitasa cha mlango wa Hasina na kukizunguusha taratibu, kitasa kikakubali sheria na mlango ukafunguka akageuka tena nyuma kuhakikisha usalama wake Mara macho, yakamtoka pima kama mtu aliyeona jini....


ENDELEA NA SEHEMU YA 27
Alipoufungua mlango alikuwa na uhakika kuwa Hasina yuko chumbani na alishajiandaa kwa mpambano wa siku hiyo ambao Mze Bisu aliupania sana, lakini alipogeuza macho kujihakikishia usalama wake kabla ya kuzama chumbani kwa Hasina, alishangaa kumuona Hasina akiwa kasimama nyuma yake akiwa kavaa kanga moja, Mze Bisu akabaki kuduwaa kwanza kabala ya kumuuliza alikokuwa, maana mawazo yake alitaka kuanza kuamini zile hisia zake kuwa Hasina na Denis wanaagenda ya siri hivyo akahisi labda Hasina alikuwa anatokea chumbani kwa Denis kujirusha.
".. unatokea wapi tena saa hizi?..' alihoji akiwa bado na sura ya taharuki.
"... natoka Msalani, mbona umechelewa sana?.." alijibu Hasija na kuunganisha na swali ambalo halikujibiwa badala yake akakutana na swali jingine.
"... sio kama unatoka chumbani kwa Dennis wewe?.." aliendelea kuhoji mzee bisu akiwa kasimama pale pale mlangoni, bila kujali kuwa sauti zao zinaweza kusikiwa na watu wengine mle ndani hasa Denis ambaye chumba chake hakikuwa mbali sana na maeneo yale, ni dhahiri kuwa wivu ulianza kumsumbua mze huyo. lakini hasina hakujibu kitu badala yake alipitiliza na kuingia chumbani bila kujibu jambo, kwani alishaona dalili za kusikiwa na watu wengine kama ataendelea kujibishana na mze huyo wakiwa bado wako nje ya chumba. mze Bisu naye alimfuata nyuma akiwa bado anawasiwasi na alikotoka Hasina, aliufunga mlango nhumba yake baada ya kuingia ndani, lakini hakufunga kwa komeo, kwani alikuwa bado na shauku ya kujua ni wapi alikotoka hasina japo alishajibiwa kuwa alikuwa msalani.
"... nimekuuliza swali mbona hujanijibu?.." alihoji tena mara baada ya kukisogelea kitanda ambapo Hasina alikuwa tayari kajilaza tena kifundifudi huku upande ule wa kanga aliojifuna ukiwa umepanda juu kwa bahati mbaya na kuacha sehemu kubwa na mapaja yake kuondekana.
"... si nimekujibu kuwa natoka msalani?.. au ndo ulishaniona mimi malaya sana ambae ninagawa hovyo kwa kila mtu?.. alijibu Hasina kwa kujiamini kidogo bila kujali kuwa anayemjibu hivyo ni boss wake, yeye anamuheshimu kama boss wanapokuwa nje ya chumba hicho, lakini wakishakuwa chumbani hapo ni mtu mwingine tofauti na boss.
Jibu hilo lilimfanya mze Bisu akae kimya kwani alihisi kuwa Hasina anaweza akachukia kwa maswali hayo, na kama angechukia inamaana ndo asingeweza kupata utamu aliokuwa akiutamani kwa muda mrefu, ikabidi awe mpole tu na kupanda kitandani huku akianza kumpapasa Hasina taratibu akiuzunguusha mkono kutokea kwenye kiuno cha Hasina na kupeleka juu ya makalio yaliyokuwa hayana vishwa kufuli wala chochote zaidi ya ile kanga. aliendelea na zoenzi lile huku maneno ya kumsifia yakianza taratibu.
"... unajua we mtoto ni kama umeniroga, maana nakupenda sana mpaka nakuonea wivu kabisa,.. najua nimekuudhi kwa wivu wangu lakini usikasirike sawa mpenzi?.. wewe ndio friji ya moyo wangu sipendi kukuuzi.." maneno yote hayo yalimtoka huku akiendelea na zoezi la kumpapasa Hasina. maneno na zoenzi hilo vilimfanya Hasina naye aanze mbwembwe taratibutaratibu, alianza kujinyonganyonga kidogokidogo, kisha sauti ya kama kuugulia ikaanza kutoka kwambali vitu ambavyo vilizidi kumpagawisha Mze huyo.
                                                     *****************
Kule chumbani Bi. Pauline alikuwa bado kalala fofo, lakini ghafla alishituka kutoka kama mtu aliyekuwa anakimbizwa na majini usingizini kwani alishituka kwelikweli na kubaki akihema, alimungalia mume wake likolala, lakini hakumuona, akabaki akihema na huku akijaribu kuiweka akili yake sawa katika kuendelea kumsubiri mume wake ili amuadithie aliochokiota, kutomuona pale kitandani mume wake hakukumshitua sana kwani aliamini mumewe atakuwa kaingia msalani. lakini muda ulizidi kukatika bila mume wake kurudi, akajinyanyua pale kitandani na kwenda kufungua mlango wa choo ambacho kimo humo chumbani, akashangaa kweupe hamna mtu, akapatwa na wasiwasi, na kuamua kutoka nje ya chumba...
NINI KITAENDELEA?
USIKOSE SEHEMU YA 28

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top