Tunajifunza kuongea kifaransa kwa urahisi, jinsi ya kutamka neno la Kifaransa na maana yake. hatufundishi kuandika ndio maana utakuta tumeandika neno la kifaransa kwa kiswahili hii inakusaidia kuweza kusoma neno gumu la kifaransa kwa tafsiri ya kiswahili.
kwa jinsi tunavyofundisha nirahisi kuweza kuongea kifaransa haraka kama tu utafuatilia kila video.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.