Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

M2 THE P ALIFANIKIWA KUWAHI MAZISHI YA NGWEA

kulikuwa na habari za chini chini kwamba msanii M2THEP hakuhudhuria mazishi ya NGWEA kwa kile kinachoaminika kuwa bado kalazwa hospitali huko Afrika ya Kusini na lakini ukweli ndio huu hapa katika picha kuwa ni kweli alihudhuria mazishi ya NGWEA huko Morogoro.
M2 THE P AKILISOGELEA KABURI LA RAFIKI YAKE ALBERT MANGWEA
M2 THE P AKISAIDIWA NA WANAUSALAMA KULISOGELEA KABURI LA ALBERT MANGWEA
M2 THE P KATIKA MSONGAMANO WA WAOMBOLEZAJI HUKO MOROGORO
Walio wengi waliamini kuwa M2 THE P asingeweza kuhudhuria msiba huo kwa vile alikuwa amefichwa ukweli kuhusu kifo cha rafiki yake Mangwea. lakini mwisho wa siku ilibidi tu aambiwe ukweli na akaweza kufanikiwa kuwahi kumzika ya rafiki yake. R.I.P ALBERT MANGWEA

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top