Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete leo
amewaongoza Watanzania katika maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar uliounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Maadhimisho hayo kitaifa yamefanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali.
Maadhimisho hayo kitaifa yamefanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.