Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

IKO HAPA VIDEO YA INTERVIEW YA NURUELLY TBC FM AKIWA NA DIJALO... KUMBE NURUELLY AMEOKOKA?..


Msanii wa miondoko ya Bongo flava ambaye mara nyingi anapenda kujulikana kama mfalme wa R&B, Nuruelly a.k.a Nuruwizy, amesema kuwa wimbo wake wa Tausi si mahususi kwa mpenzi wake bali ni mahususi kwa kwanawake wote wanaojiheshimu.
Nuruelly aliyazungumza hayo katika mahojiano na mtangazaji wa kipindi cha Papaso kinachorusha na kituo cha TBC FM
Aliyasema maneno hayo pale alipohojiwa kuwa alifikiria nini mpaka kuamua kutunga wimbo kuo wa Tausi.
katika hali nyingine iliyoleta burudani kidogo nipale Dijalo Arungu alipomuuliza uhusiano wake na mwanamke aliyeongozana naye pale studio naye kujibu kuwa ni meneja wake wakati kumbe ni mwandani wake.

ANGALIA VIDEO YA INTERVIEW NA VIPANDE VYA VIDEO YAKE

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright 2025 MO Design | Designed By Code Nirvana