Habari za uhakika na latest kabisa zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa kuwa ELIZABETH MICHAEL (LULU) akaachiwa kwa dhamana leo.
habari zilizoifikia meza ya MO Design, zinasema kuwa January 23 mwaka huu, ndio ilitakiwa LULU atolewe kwa dhamana lakini vigezo vya dhamana havikukamilika pia jaji anayeendesha kesi hiyo alikuwa na dharura.
|
ELIZABETH MICHAEL - LULU |
akizungumza katika kipindi chake Milard Ayo alisema kuwa milioni 20 zinahitajika ili kuweza kukamilisha dhamana ya LULU.
Hivyo kama itapatika hiyo milioni 20 kuna uwezekano mkubwa leo LULU TUKAWA NAYE TENA URAHIYANI.
|
ELIZABETH MICHAEL - LULU |
ELIZABETH
MICHAEL (LULU) alishtakiwa na kuswekwa ndani ya kuta nne kwa tuhuma za kumuua msanii mwenziye wa maigizo na filamu STEVEN KANUMBA ambaye pia iliaminika kuwa alikuwa mpenzi wake.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN