Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MSIBA TENA TASNIA YA SANAA - MZEE SMALL AFARIKI DUNIA

Muigizaji na mchekeshaji mkongwe hapa Tanzania SAID WA NGAMBA almaarufu kama MZEE SMALL, amefariki dunia usiku wa tarehe 7 kuamkia tare 8/06 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Mzee small akiwa Hospitali
Akithibitisha taarifa hizo mwanaye aitwaye Mahmoud Said amesema umauti ulimfika baba yake amajira ya saa nne usiku Hospitali hapo wakati akiendelea kupata matibabu.
Mzee Small enzi za uhai wake
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake Tabata Mawenzi Jijini Dar es Salaam. Hili ni pigolingine ndani ya Tasnia ya sanaa, ndani ya wiki tatu kuzika wasanii wanne, ni pigo kubwa sana.
Mzee Small akiwa na wasanii wenzanke. JB na RICH
MO DESIGN TUNATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEM NA TASNIA YA SANAA KWA UJUMLA. MUNGU AILAZE PEMA PEPONI ROHO YA MZEE SMALL

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top