Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

HEBU TAZAMA USAFIRI ANAOMILIKI MCHEZAJI EMMANUEL ADEBAYOR

dude

Mshambuliaji Emmanuel Adebayor ameonyesha sasa ameingia kwenye list ya wachezaji wa ligi kuu ya England wanaomiliki magari ya kifahari na kudhihirisha kwamba kazi anayofanya inamlipa.
Safari hii Adebayor ambaye ni raia wa Togo ameamua kuonyesha mchuma wake mpya aina ya Rolls Royce, anaenjoy zake ndani ya mchuma wake huo ambao thamani yake ni paundi 360,000/- ambazo ni sawa na fedha za kitanzania zaidi ya milioni 900.
tote
Katika ukurasa wa Instagram aliweka picha na post aliyoandika kwamba yuko ndani ya gari yake akienda mazoezini, halafu akawatakia wiki njema fans na followers wake; “SEA, This mornings ride to training, travel in style and ready to work! Have a good week guys. #Godisgood#GlorybetoGod #Godisthereason #shoppingtime#chillingtime #chillmood #team228 #surulere#Stophating #lifesgood“– @e_adebayor

adee
Endelea kufuatilia modesigntz beste wangu na mimi ntaendelea kukuwekea kila stori inayonifikia...

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU ILI NA WEWE UWE MWANACHAMA NA HABARI ZETU ZIKUFIKIE MOJA KWA MOJA..

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top