Weekend hii msanii Diamond Platnumz ataonekana Live Afrika nzima akifanya show kwenye Tuzo kubwa za Film Barani Afrika, Meneja wake anaeitwa Salam amesema show hiyo itafanyika Jumamosi ya March 7, ambapo itaonyeshwa Live katika Channel ya Afrika Magic katika utoaji wa Tuzo za Afrika Magic Movie Award ambazo zitafanyika Nigeria, msanii mwingine atakaefanya show ni Iyanya ambae wanatarajia kufanya video ya wimbo waliofanya pamoja.
endelea kufuatilia modesigntz kwa habari motomoto, na mimi ntaendelea kukuwekea kila stori inayonifikia...
USISAHAU KU LIKE PAGE YETU ILI NA WEWE UWE MWANACHAMA NA STORI ZETU ZIUFIKIE MOJA KWA MOJA HAPO ULIPO...
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN

Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.