Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

HATIMAYE KAKA'AKE ZARI AMCHUMBIA LINAH... CHEKI PICHA HAPA...

Linah-444
Bongo Fleva Esterlina Sanga ‘Linah’ na mchumba wake amabye ni kaka za Zari, Wiliam Bugene ‘Boss Mtoto’

Hatimaye staa wa Bongo Fleva ambaye ni zao la Nyumba ya Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amechumbiwa rasmi na yule jamaa wake, Wiliam Bugene ‘Boss Mtoto’ ambaye ni kaka kiukoo wa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady.’

linah-555 

Akizungumza nasi kwenye mahojiano maalum alipotimba katika Tamasha la Filamu la Kimataifa (ZIFF), Zanzibar hivi karibuni, Linah alisema kuwa ana furaha maishani mwake kwa kumpata mtu mwenye mapenzi ya kweli ambaye atafunga naye ndoa ‘soon’.

linah 

“Tayari ameshanichumbia, anajulikana kwetu na mimi najulikana kwao. Kifuatacho ni ndoa yangu,” alisema Linah ambaye hivi karibuni amesema ataachia wimbo mpya utakaokuwa gumzo.

Linah2 

Furaha ya Linah inakuja kufuatia kumpata mwanaume huyo ambaye amekuwa akionekana naye kila kiwanja wakiwa wamegandana kimahaba ikiwa ni miezi kadhaa tangu alipodai kuporwa bwana’ke, Nagari Kombo anayedaiwa kakwapuliwa na Wema Sepetu.

Linah1 

Kabla ya Boss Mtoto na Kombo, huko nyuma Linah aliwahi kuripotiwa kuwa kwenye mahusiano au uchumba ‘serious’ na msanii mwenzake, Amini Mwinyimkuu.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top