Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

KIUNGO MPYA WA CLUB YA SIMBA... ASEMA VIETNAM WANAKULA NYOKA... SOMA HAPA...

DSC_0009
Kiungo mpya wa kimataifa wa Zimbabwe anayeichezea klabu ya Simba Justice Majabvi ambaye amewahi kucheza soka barani Ulaya na Asia katika nchi ya Vietnam kabla ya kutua Simba mchezaji huyo ana uzoefu wa kucheza soka ndani na nje ya Afrika.
Kwa mujibu wa mchezaji alishare nasi stori kuhusu utamaduni wa watu wa Vietnam kuwa baadhi ya nchi za Asia wanakula,Chura, Nyoka na Mbwa.
IMG-20150826-WA0014
“Ndio ni kweli ni kawaida kwa Vietnam watu kula Nyoka, Mbwa, Paka ni kweli ni gharama kununua nyama hiyo hususani ya nyoka ipo juu sana bei yake, mara nyingi familia zinazojiweza ndio huwa wanakula sijui bei yake halisi lakini inafika dola 50 kwa kilo moja”>>>Justice Majabvi

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top