Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

UKO HAPA MPIRA UTAKAOTUMIKA KATIKA MICHUANO YA KLABU BINGWA ULAYA 2015 -2016...( PICHA)

News-Picture-UEFA
Kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Uingereza na Ligi Kuu Hispania mashirikisho ya soka ya nchi husika huwa wanatangaza aina ya mpira utakaotumika katika msimu husika, tayari tumeshaona mpira unaotumika katika Ligi mbalimbali barani Ulaya.
August 26 umetangazwa mpira utakaotumika katika michuano ya klabu Bingwa Ulaya msimu huu, licha ya kuwa ulitumika katika mechi ya kwanza ya mchujo katika ya Manchester United dhidi ya Bruges lakini August 27 ni siku ambayo utazinduliwa rasmi mpira huo katika mji wa Marseille Ufaransa.
Uzinduzi huo utapambwa na uwepo wa wachezaji wa vilabu vya Man UnitedReal Madrid,AC MilanBayern MunichChelsea na Juventus lakini ni siku ambayo droo ya makundi ya klabu Bingwa Ulaya itachezeshwa.
Hizi ni picha za mpira huo
Adidas-Finale-15-Champions-League-Official-Match-Ball (2)
Adidas-Finale-15-Champions-League-Official-Match-Ball
Adidas-Finale-15-Champions-League-Official-Match-Ball (1)

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top