Klabu ya Manchester United August 26 imeshuka dimbani kucheza mechi yake ya marudiano na Club Brugge ya Ubelgiji, mchezo huo ambao Club Brugge imecheza nyumbani lakini imepokea kichapo cha goli 4-0. Magoli ya Man United yamefungwa na nahodha wa timu hiyo Wayne Rooney dakika ya 20, 49 na 57 huku goli la nne lilifungwa na Ander Herrera dakika ya 63.
Picha za mechi
VIDEO
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN






Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.