Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

KUMEKUCHA: TIMU 16 ZITAKAZOSHIRIKI LIGI KUU MSIMU HUU, ZAKABIDHIWA VIFAA...

IMG_20150902_112248
“Vodacom leo tuna furaha kubwa kukabidhi vifaa kwa ajili ya Ligi Kuu Vodacom ambayo itaanza Septemba 12 mwaka huu, tumesaini mkataba wa miaka mitatu ambao huu ndio wa kwanza, tumefurahi timu kuongezeka zimekuwa 16, hivyo kutakuwa na jumla ya mechi 240, tumetoa jezi soksi, shin guard, mipira”>>> Kelvin Twissa
IMG_20150902_113013
IMG_20150902_113110
IMG_20150902_113140
IMG_20150902_113240

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top