
Winga wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Manchester United David Beckham usiku wa Septemba 1 alipewa Tuzo ya Heshima. Licha ya kuwa amestaafu wa soka bado mchango na uwezo wake aliyo uonyesha katika soka bado unatambulika na kuheshimika.
Hizi hapa ni picha za tukio lenyewe mtu wangu
Tuzo hizo za 20 ambazo hujulikana kama Legend of Football Award alipewa na wanachama wa kamati ya Football Extravaganza na alipewa Tuzo hiyo katika ukumbi wa The Grosvenor House London usiku wa Septemba 1
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN




Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.