Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

WAKE WA MARAIS WENYE MVUTO ZAIDI AFRIKA... PICHA ZIKO HAPA...

Wake wengi wa Marais husifika kwa kuwa na muonekano mzuri mbele ya jamii inayowazunguuka na pia hutumia nafasi zao kuhakikisha wanakuwa katika mazingira mazuri na ya kuvutia wakati wote. na hii inasababishwa zaidi na title ya u first lady. neno hili huwafanya muda wote wawe katika muonekano wenye mvuto zaidi ili muonekano wao uendane na neno hilo.
Hii Hapa ni List ya wake 10 wa Marais wa Afrika wanaoongoza kwa mvuto zaidi
LADY1
1) Princess Lalla Salma (Morocco)
LADY2
2) Sylvia Bongo Ondimba (Gabon)
LADY3
3) Chantal Biya (Cameroon)
LADY4
4) Hinda Deby Itno (Chad)
LD5
5) Zeinab Suma Jammel (Gambia)
LD6
6) Queen Inkhosikati LaMbikiza (Swaziland)
LD7
7) Ana Paula dos Santos (Angola)
LD8
8) Olive Lembe di Sita Kabila (Democratic Republic of Congo)
photographe
9) Dominique Folloroux-Ouattara (Ivory Coast)
LD10
10) Margaret Gakuo Kenyatta (Kenya

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top