Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MTOTO WA BECKHAM AWA ALAMA YA HESHIMA UINGEREZA IKICHEZA NA SWITZERLAND...(PICHA)...

Wayne Rooney na mototo wa Beckham, Romeo Beckham.
Uingereza
ROMEO BECKHAM, mtoto wa kiume wa mwanasoka maarufu wa Uingereza, David Beckham jana alikuwa kivutio katika uwanja wa Wembley katika mechi baina ya England na Switzerland.
Baba yake ambaye naye amewahi kuvunja rekodi katika soka, alifichua kwamba heshima hiyo ilikuwa ni kuadhimisha mwaka wa 13 wa kuzaliwa kwa mwanaye huyo.
Rooney na Romeo.
Akizungumzia msakata soka wa Manchester United, Wayne Rooney, kuvunja rekodi ya mwanasoka wa zamani wa England, Sir Bobby Charlton, Bekcham alisema hilo lilikuwa tukio la mafanikio makubwa.
"Nina hakika magoli hayo 50 yapo katika kila kikombe alichoshiriki Rooney katika ushindi wake.  Naelewa ni jambo la thamani kwa Wayne kuichezea nchi yake. Na nina hakika ataendelea kuichezea tena kwa miaka mitano ijayo kwa vile ana kipaji kikubwa.  Ninatumaini ataisaidia England kushinda katika mpambano wowote mkubwa
Kikosi cha england kikiingia uwanjani.Mchezaji wa soka wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya England, David Beckham.Rooney akifunga bao....Akishangilia bao lake.Mashabiki wakishangilia bao la Rooney.
Chumba cha kubadilishia nguo.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top