kama ilivyo kwa mtoto wa Diamond platnuma kutokujulikana sura yake mpaka sasa, ndivyo ilivyo na kwa mtoto wa star wa movie za kibongo Aunt ezekiel, Na mara nyingi watu wanakuwa wakijiuliza maswali ya kwanini sura zao zinafichwa? au ni kuogopa kuumbuka pale itakapo bainika kuwa sura ya mtoto aifanani na baba wa mtoto husika au?
Hii hapa video ya mtoto wa Aunt Ezekiel
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN


Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.