
Ernest Napoleon ni Mtanzania ambaye aliamua afanye kitu tofauti na kikubwa sana kwenye soko la movie Tanzania, aliweka nguvu yake, muda wake na pesa ya kutosha kuhakikisha anafanya movie kali ambayo itamgusa kila mtu. ‘Going Bongo‘ ndio movie yenyewe ambayo ina stori ya kuvutia sana..
Good News TANZANIA !! Going Bongo ilifanyiwa uzinduzi Tanzania na Uingereza na mastaa kibao wa Uingereza walikuwa sehemu ya wageni walioshuhudia uzinduzi huo… muda mfupi baadae Filamu hiyo tayari ina ushindi wa Tuzo mbili, Best East African Film iliyoshinda kwenye Tamasha la ZIFF Zanzibar, na pia Best International Film ambayo ilishinda kwenye Tuzo za BEFFTA za Uingereza.
Sasa hivi ni zamu ya Tanzania, hii movie ilikuwa sokoni tayari lakini najua kuna watu bado hawajaiona na wengine hawajajua kama ipo.. kwa time yako na watu wako mtaishuhudia LIVE kwenye screen kubwa ya Century Cinemax pale Mlimani City Dar es Salaam… hiyo itakuwa December 11 mwaka huu huu 2015.
HII HAPA NI TRAILER YA MOVIE HII
HII HAPA NI TRAILER YA MOVIE HII
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN

Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.