Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

ILIKUWA HIVI MECHI YA KILIMANJARO STARS Vs SOMALIA...

November 22 michuano ya mataifa ya Afrika Mashariki na kati maarufu kama CECAFA iliendelea kwa michezo miwili kupigwa, timu ya taifa ya Tanzania bara ambapo inafahamika kama Kilimanjaro Stars ilishuka dimbani kucheza mechi yake ya kwanza dhidi ya Somalia.
Kilimanjaro Stars ambayo ndio imecheza mchezo wake wa kwanza leo November 22 ikiwa na tahadhari au kumbukumbu ya kilichowakuta ndugu zao Zanzibar Heroes ambao walipoteza mchezo wao wa kwanza dhidi ya timu ya taifa ya Burundi kwa goli 1-0.
Taifa Stars forward John Bocco (right) is guarded by a South Africa's Under-23 team defender during a friendly match at Eldorado ground. Stars lost 2-0. Kili Stars will be formed by majority of the national team squad. photo | courtesy of salehjembe blog
Stars ambao wapo chini ya kocha King Kibadeni walifanikiwa kuibuka na ushindi wa jumla ya goli 4-0 dhidi ya Somalia ambao wamekuwa hawana rekodi nzuri katika soka, magoli ya Kilimanjaro Stars yalifungwa na nahodha wao John Bocco kwa mkwaju wa penati dakika ya 12, Elias Maguli dakika ya 17 na 54 na dakika moja baadae John Bocco akapachika tena goli la nne.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top